Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumanne, 20 Desemba 2016

KINGA KUBWA YA NYUMBA YAKO ISIINGIWE NA WANGA WALA ROHO CHAFU YEYOTE

Andika kwenye karatasi nyeupe kwa kutumia wino wa zafarani nyekundu na uitundike popote ndani mwako,hakika hakuna mchawi,wala pepo mchafu yeyote atakayethubutu kuingia ndani humo