Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumanne, 20 Desemba 2016

MAAJABU YA PILIPILI MANGA KATIKA KUVUTA WATEJA KWENYE BIASHARA YAKO!

kwa wale wanaofanya biashara za maduka na biashara nyinginezo dawa hii ni mujarrabu kabisa na wengi walioifanya wamenipatia feedback nzuri kabisa kuhusu kufanikiwa kwao ghafla tangu wafanye dawa hii

nimeona ni vyema niwawekee hadharani dawa hii kwa atakayependa na afanye na yeye ajionee maajabu 

 chukuwa pilipili manga kiasi cha kiganja kimoja
 zitwange vizuri ziwe unga
 zimwage katika biashara yako
iwe siku ya jumamosi  SAA 6 usiku au  jumapili SAA 2 asubuhi

baada ya hapo  fagia kwa kutolea nje na kusanya uchafu wote chimba shimo hapo mbele ya duka lako fukia

anza kazi,hata kama ulikuwa hupati wateja utaona speed ya wateja watakavyochanganya kuja kwako
utahitaji wa kukusaidia.