Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumatatu, 24 Aprili 2017

pete ya jinni najmat nnur khatmia ina uwezo mkubwa wa kukupa unachotamani

NAJMAT NNUR KHATMIA

Huyu ni jini mzuri sana na jini huyu umsaidia mtu katika mambo mengi maishani jini huyu mtu anaweza kuwa nae asijitambue

jini huyu humpa mwanadamu vitu vingi na kumuwezesha kumsaidia kumlinda na hata kumnyanyua kimaisha kiuchumi na kipato
 jini huyu ukiwa nae mwilini unaweza kupata vitu mbalimbali bila kutarajia unaweza kukutaishwa na mtu au watu ukapata mafanikio makubwa sana


jini huyu unaweza kuolewa au kuwa na mahusiano na mwanaume au mwanamke ukapata mafanikio makubwa kupitia mtu huyo

jini huyu uleta karibu chochote kile chenye manufaa

 jini huyu huwezesha na kutoa njia mwanga na kuongoza katika mambo mbalimbali

jini huyu ana uwezo nguvu na humsaidia kumpa mtu katika mambo mengi sana hasa utaftaji rizki kipato kazi mipango maisha mafanikio biashara mbalimbali afanyazo au atakazofanya uchimbaji wa madini ya aina yoyote kilimo ufugaji  udalali uendeshaji wa vyombo mbalimbali na kila afanyacho huwa na mafanikio kupitia kiumbe huyo mmiliki wa pete ambae uishi katika mwili wa mwanadamu au umpa nguvu mwanadamu pindi atumiapo pete hizo zenye nguvu kuu kutoka kwa kiumbe huyo unaweza kuwa mtawala au kiongozi ukakubalika au kusikika na watu mbalimbali ukawa unapendwa unavutia mahali popote pindi ukiwa na pete hiyo mwilini mwako

upata nguvu nyingi na uwezo mkubwa kiumbe huyu umsaidia mtu katika mambo yake usimama mbele na kuongeza nguvu au uwezo wa ziada mahali popote pale jini huyu umfanya mtu kuwa mwenye bahati ya hali ya juu

 umfanya kuwa mwenye mvuto wa hali ya juu umsaidia akakubalika kila upande na kuwa na huba kupendwa zaidi  na pete hiyo kupitia kiumbe huyo huwa kinga na nguvu ya kumlinda na kumuongoza pete hiyo umsaidia hata kwenye mahusiano au ushirika wa chochote kitakacho muhusu huwa na msaada kwake


Jini huyu ni mmoja wa majini wazuri sana katika jamii ya majini wanaomsaidia mtu na ukiwa na pete ambayo itaendana na myota yako au pete yenye nguvu kuu ya umiliki basi kila jambo lako litafanikiwa hutapata pingamizi wala vikwazo vyovyote iwe ahadi basi ukiwa na pete ya kiumbe huyu zitakaimilka tu iwe kipato kitapatikana tu na hata ikiwa unataizo la kutoiona pesa unayopata basi ukiwa na pete hii utaiona na kupata maendeleo na hata kama pesa zinapita tu kwako hazikai na huna cha maaana katika ufnyacho basi ukiwa na pete hii kila kitu kitakuwa sawa

pete uongeza nguvu ya nyota zako na kuzipa nuru mwanga wa kumulika njia ya mafanikio yako na hizi pete uingia mwilini nguvu yake kupitia damu kutokana nadhumuni husika na kusudio lako juu ya manuizo ya pete yako



 pete ni tiba pete ni dawa pete kinga pete husaidia mambo mengi na pete ni ufumbuzi wa mambo mengi

 pete utumika katika mapambo 
pete zipo za urembo lakini unaweza kuwa nafsi yako inapenda wewe uvae pete tu ukawa unanunua pete kila uonapo pete roho yako inataka uwe nayo akili fikra nafsi yako inakusukuma uvae pete na unazo pete nyingi au za gharama kubwa
Au unazo pete zisizo za gharama lakini unapenda kuvaa pete jichunguze ujijue ni kipi kinachokusukuma kuvaa pete

 pia wapo viumbe upenda braslert bangiri au cheini za mikono pia kuna mabangiri ya shaba halisi pia huwa dawa kubwa sana

Mfano shaba nyekundu njano nyeusi nk

KAMA UNAHITAJI PETE HIZI  UNAWEZA KUWASILIANA NASI KWA
+255 653 532036
+255 764 995259
Tibazetutz@gmail.com