Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumatatu, 24 Aprili 2017

zijue faida chache za mti wa mnazi

Wengi wenu mnaufahamu sana mnazi hadi matumizi yake

Leo nitaugusia kidogo mnazi katika tiba n.k.

Mnazi ni miongoni mwa mazao ya biashara katika mazingira yetu ya kila siku

Majani yake yana faida nyingi mno ila nitaelezea kwa ufupi tu

~Ukichukua majani mabichi ukiyatwanga na kumpakaa anaeumwa kichwa sana kitaachia kkuma na atakuwa sawa.

~Matawi yake hutolewa chelewa ambazo ni sehemu ya zao la biashara ambazo hutumika pia kwa kutengenezea mafagio hizo chelewa  ni dawa yani chelewa ni dawa nzuri ya kichwa chukua chelewa iliyotumika na uiwashe moshi na uuvute puani ukuingie puani kichwa  kitapona

~Tunda la mnazi yaani nazi pia hutumika kufunga mtu,kufungua mtu,kutia wehu,kufarakanisha na kuwatenganisha wapendanao

~Ukichukua perfume,unga wa karafuu na tui la nazi basi ukijipakaa husafisha na kung'arisha nyota kwa nguvu kubwa ya karafuu na nazi

Shina lake ukilochoma na kusaga mkaa wake ni dawa nzuri ya tumbo linalouma,lililojaa gesi na kuvimbiwa