Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumanne, 18 Aprili 2017

TENGENEZA JINI LA KULINDA SHAMBA LAKO AU NYUMBA KWA KUTUMIA KUKU MWEKUNDU

VIFAA
kuku mwekundu jogoo
chungu  kipya kikubwa 
 chumvi ya mawe kG1  
ndimu kali 7  
sindano 7 
kitambaa chekundu  mita 1 


MAFUSHO YATAKAYOTUMIKA
 ubani maka
 sandarus,jawi ,dhukuri,kafur mayti,haltiti,shubir,na unga wa mfupa wa kichwa cha ng'ombe 

 kisha utaanza kusoma surat nnaziat zote na surat muhilikat zote na surat lhajiz zote wakati huohuo utakuwa unamnyonyoa manyoya yule kuku unayatupia katika chungu na zile sindano unashindilia ktk mwili wa kuku huyo mpaka umalize manyoya yote kisha kuku akiwa bado yupo hai  mfunge hicho kitambaa kama sanda utamzika katka kichuguu 

wakati unazika soma tarakin mayti ya mtoto  kisha useme ni adhabu gani iwe kwa mbaya wako  ukiishazika funika hicho chungu juu yake  

utakaa siku 21 majibu utayapata atakuja huyo mbaya wako akiwa mwehu ukimwangalia tu anakufa