Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumatatu, 24 Aprili 2017

dawa ya kuacha pombe,sigara na madawa

Kwa wale wanaotumia sigara,bangi na madawa ya kulevya na wanahitaji KUACHA hii ndyo dawa mujarabu kwa

⚡wanywaji wa pombe
⚡Bhangi, sigara
⚡Mirungi , ugoro
⚡Na madawa mengine ya kulevya ukitaka KUACHA

     ðŸŒ¹ Chukua dawa inayoitwa MURDA , chukua majani yake uyaanike yakauke

      🌹Kisha chukua majani hayo na uyasokote kama sigara kisha vuta msokoto huo nusu asubui na nusu yake jioni , yaani kutwa mara mbili

       ðŸŒ¹Dawa hiyo utayumia kwa siku tano tuu. Hakika hutotamani walakutimia tena vilevi vyako

      🌹 Na dawa hii ilivyo mujarabu ukivuta mara ya kwanza tu hapo hapo jaribu kuvuta bhangi au sigara au kunywa Hakika utaona inakukera sanaa na ni mbaya

Kwa ushauri na tiba wasiliana nasi
0653 532036 whatsapp
0764 995259
tibazetutz@gmail.com