Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumatatu, 16 Aprili 2018

jitibu na jikinge na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na nguvu za kike kwa kufuata utaratibu ufuatao


1. Epuka kula lishe inayotokana na mbegu za kike zisizopandikizwa na mbegu za kiume kama vile mayai ya kisasa. Mayai ya kisasa huharibu muundo, maumbile na utendaji wa jinsia ya kiume na kike.

2. Epuka kunywa maziwa yanazalishwa na ng'ombe asiyezalishwa au aliyezalishwa kwa muda mrefu na analazimishwa kutoa maziwa kwa njia za kitaalamu.

3. Epuka kunywa pombe kwa kiwango kilicho kinyume na afya ya binadamu. Pombe iliyozidi kinyume na afya ya binadamu huuwa uweze wa nguvu za kiume au za kike na huweza kudhuofisha uhai wa mbegu za kiume au za kike.

4. Jitibu na jikinge upungufu wa nguvu za kiume au za kike kwa kula mbegu za mboga ya maboga.

5. Jitibu na jikinge upungufu wa nguvu za kiume au za kike na ugumba wa kiume au wa kike kwa kula asali pori kila siku. Usitumie asali ile inayotokana na nyuki waliofugwa kwenye kilimo cha aina moja ya maua ya mimea kwa sababu inaweza asali yake isiwe na dawa za kutibu ugumba au upungufu wa nguvu za kiume au za kike. Asali inayotakiwa ni asali pori iliyokusanywa na nyuki kutoka kwenye maua ya aina mbalimbali ambayo yana aina tofauti ya dawa.

6. Jitibu upungufu wa nguvu za kiume au za kike na ugumba wa kiume au wa kike kwa kula kachumbari kila siku

7. Jiepushe na msongo wa mawazo ambayo kwa kiasi kikubwa yanahusishwa na kuuwa virutubisho mwili na kupelekea kutofanya ujenzi wa muundo, maumbile na utendaji wa kijinsia.

Kama matatizo ya upungufu wa nguvu yanaendelea baada ya kufuata ushauri huu basi mnaweza kuwasiliana na mimi kwenye number
0657739713/0764995259