Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Alhamisi, 19 Aprili 2018

sababu za kupungua kwa mapenzi katika ndoa na jinsi ya kuyarudisha upya

Kuna hali inayowakumba wengi kati yetu na imekuwa taabu sana kwa wanandoa
Unakuta watu kabla ya ndoa wanapendana kwel kwamapenzi makubwa na baada ya ndoa kadhalika wanapenda ila cha ajabu mapenzi yataanza kupungua na hapo utajiuliza maswali mengi kuwa shida ipo wapi hupati jibu sahihi hata kidogo
Hali hii huwa inachangiwa na mengi mno kwa uchache leo nitaelezea sababu kadhaa;-
-Vidumu
Ni wale wanaume/wanawake wanaojiingiza kwenye mapenzi ya mtu mwingine aidha kwa kutaka wenyewe au kupendwa na hao waume/wake za watu hii inachangia kwa kiasi kikubwa mno kupungua au kufa kwa mapenzi ya dhati mkeo/mumeo uliyempenda kwa dhati kwani mapenzi yanahamia sehemu nyingine kabisa na hapo lazima kama ni ndoa itaingia doa la uzurungi kabisa
-Kuwa mbali na mkeo/mumeo kwa muda mrefu hii pia hupunguza upendo kwa kiasi chake
-Kutokusahau/kutokusamehe makosa yaliyopita hii nayo huwa sababu ya mapenzi kupungua na hata kufa kabisa
-Matatizo ya uzazi/nguvu za kiume kwa baadhi huwa chanzo cha ugomvi baina yao ila huwa haujihidhihirishi kwa wengi kuwa hiyo ni sababu bali hutumia njia mbadala ili kugombana au kutimiza haja yake na wengine hufukuzana kabisa.
-Mawasiliano na wapenzi wa zamani bila sababu maalum kama uzazi wenza n.k. hivi navyo huwa chanzo cha matatizo baadhi ya wapendanao na mahusiano hujaa chokochoko na maugomvi mengi kwani wengi wanaowasiliana kama walishaachana ni rahisi mno kurudiana
-Uchawi uchawi pia unaweza pia kuchangia ugomvi au mapenzi ndani ya ndoa kupungua na hatimae kufa kabisa hii huwa mara nyingi inatokea kwa wengi mno na hapa huchukua vitu vyao vya kichawi mfano:- kichwa cha komba, panya na mavi yake, biringishamavi na mavi yake, mbwa manyoya yake, manyiya ya paka, mjuzi aliekufa mwenyewe akiwa hana mkia, udongo wa kaburi lililoachwa kuzikiwa,udongo wa sehemu aliyoikataa maiti kuzikiwa, kinyesi cha bundi, vitu hivi wao huvichanganya na kivuli cha wanandoa au wapenzi wawili hukusudia kuyaua mapenzi yao au ndoa yao kisha huenda kuvizika kwenye kisima kilichokauka iwapo utafanyiwa hivi kama upo kwenye ndoa mtagombana sana na mwisho lazima muachane, na kama kuna mtu kaahidi kukuoa atakata mguu harudi tena, kama kuna mtu ametoa mahari kabisa au barua ataghairi, kama uliahidi kuoa mtu na kwao wanakufahan utashuhudia akiolewa na mtu mwingine kama ni mwanamke basi atashuhudia haolewi yeye anaolewa mtu mwingine,
Kiujumla uchawi ni nbaya mno na ukiangalia hapo kwa sheria za dini mbalimbali huo ndio uchawi wenyewe maana uchawi ni kukitoa kitu kwenye asili yake na kukiweka kwenye asili/taswira nyingine
-Majini wachafu(mashetani)
Hawa nao wananguvu kubwa juu ya hili mganga au mchawi wako huunda jini au huita jini na kumtuma kwa utaalam wake( sitaelekeza hapa maana mtaenda kujaribu baadhi yenu
)
Baada ya hapo mwanaume/mke atakuwa mtu mkali mkali tu kila baada ya dakika kadhaa ugomvi kitu kidogo ugomvi mkubwa, hii ni hatari ndugu zangu yupo mtu mmoja jina nimelihifadhi alitumiwa majini 7 na mzazi mwenza wa mumewe ili wakaivuruge ndoa yake na wamuondoe mwanaume katika ile nyumba aende akamuoe huyo mzazi mwenzake huko nje kilichofanyika ili kumuumiza huyu mke halali wa ndoa ni majini wawili walitumwa kukaa mwilini mwake na kumtia maradhi ili aumwe tu asiweze kufanya kitu na kweli aliumwa na kifua sana pamoja na kuzimia kila mara na akizimia anaweza kukaa masaa manne hadi 5 basi hapo alipata shida mno
Jini mmoja alitumwa akae mwilini mwa mumewe awe anamfanyia kila anachokitaka yule mzazi mwenzake (huwezi kuamini mshahara akiupata aliwajibika kuupeleka wote kwa mzazi mwenzake huku mkewe ndani hajui mshahara unapoenda
Majini wanne waliobakia walikabidhiwa picha ya huyu mke halali ikiwa ipo jalalani wanailaani na kuiombea mabaya kila leo huwezi kuamini ndugu mwanagroup letu la whatssap fb n.k.mke halali alichukiwa mno alidharauliwa mno mpaka ilifikia hatua ya kuitwa mbwa na mume ikawa haji nyumbani kabisa akahamisha kila kitu chake na maisha yakr aliyafanyia kwa mzazi mwenzake (siwezi kusema ninani alimsaidia akawa sawa na mmewe akarudi kama zamani mtaona natangaza biashara) ila lengo ni kuwafikishia tu taarifa ili mjue ni jinsi gani wanawake/wanaume wa pembeni wanavyoweza kuharibu mipango au ndoa na mapenzi
Ikiwa mumeo au mkeo ndani hatoi matumizi au ni bahili hakupendi kama awali basi nakuelekeza cha kufanya hapa ukivipata vyote hivi umeshinda kesi
Chukua dawa zifuatazo;-
-mlangamia mbichi (saga mwenyewe kausha juani twanga upate unga wake) ya kununua nyingi fake
-manyoya ya njiwa ya mkiani
(Yachome upate jivu lake)
-kucha za jogoo mweupe za mguu wa kulia saga upate unga wake
-majani ya mringaringa yaliyoanguka yenyewe choma upate jivu lake
-mwinamo unga wake
-mtaataa majani yake
-unga wa majani ya mpera
-unga wa ubanimushtaka
-unga wa hardal
-unga wa tinginyanguru
-unga wa msele(mjafari)
-unga wa mtopetope
-moyo wa samaki yoyote anaeliwa saga kausha upate unga wake
Dawa hizi unazichanganya pamoja kisha utaigawa mafungu matatu unachukua fungu moja litakuwa la kula mhusika(yani anaekusumbua)
Utaweka katika uji au chai au mchuzi au supu
Fungu la pili jifukize wewe huku unanuia abadilike awe kama zamani tupendane kama tulivyoanza
Fungu la tatu
Utatumia kujipakaa changanya na mafyta yako ya kujipakaa dawa hii hata kama hupati mke au hupsti mme utampata tu na atakuoa mubgu akipenda
Ukitumia dawa hiyo mume/mke lazima atakupa hela hawezi kuwa mbahili
Dawa hizo zinaanguvu mno zinaweza kumtoa mtu popote alipotekwa na hawara au kimada atamchukia mara moja na kuirudia ndoa yake.

dawa hizi zinapatikana kwetu wasiliana nasi