Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumatatu, 16 Aprili 2018

wazee wa kubet angalia njia hii ya kiunajimu itakayokufanya ushinde mara kwa mara

Leo tunaangalia kubahatisha jambo au mchezo unaotegemea namba zaidi kwa kutumia namba zako za bahati
;-kinachotakiwa ni herufi ya jina lako au kuifahamu nyota yako tu ila ukiijua nyota yako ni rahisi zaidi kubahatisha

Ili kujua nyota yako chamsingi kuijua tarehe yako ya kuzaliwa na kuijua namba yako ya bahati
Hapa chini nawawekea majina ya nyota zenu na namba zenu za bahati
Nyota ya punda(21 march-21 april)
Namba zao za bahati 1 10 19 28
Ikiwa nyota yako ni punda basi mchezo unaocheza kama unahitaji namba 3 chakufanya ni akili yako tu zivunje namba za bahati mpaka upate namba 3 ambazo ukizijumlisha unapata namba yako yako ya bahati mfano hapo juu ipo 1 10 19 28
244 =2+4+4=10 hapo namba yako ya bahati kinyota ni 10 ila kimchezo unaocheza ni 244 pia unaweza kuigeuza kulingana na mchezo unaocheza mfano 442 au 424
991=9+9+1=19 hii ukiigeuza geuza unapata 991 , 919,199

Hii nimewapa kama mfano hizi nyingine huku chini mtavunja wenyewe
Sasa naendelea huku mbele mtajifafanulia wenyewe na kwa mengine zaidi utafuata utaratibu kunipigia na kufuata maelekezo 0653663567
Nyota ya ng'ombe(22 april-21 may)
Namba zao za bahati ni 2,11,29,
Nyota ya mapacha(22 may-21 june)
3,12,30
Nyota ya kaa(22 june-22 july)
4,13,22,31
Nyota ya simba(23 july-21 august)
(5,14,23)
Nyota ya mashuke(22 august-22 september)
6,15,24
Nyota ya mizani(23 september-21 october)
7,16,25
Nyita ya ng'e(22 october-21 november)
8,17,26
Nyota ya mshale(22 november-21 december)
9,18,27
Nyota ya mbuzi
10,19,28(22 december-19 january)
Nyota ya ndoo(20 january-18 february)
11,20,
Nyota ya samaki(19 february-20 march)
12,21,30
Hizi namba hazikwepeshi ndugu zangu kwa kila kitu zinaingia hizi ukishajua namba yako ya bahati ni 1 basi kama unashida na hela kwa mtu we muombe 9000 ni nadra sana akikupa hiyohiyo 9000 atakupa 10 na pia ukimuomba 10 ni rahisi kukupatia ukitoa sadaka au zawadi toa kupitia namba yako utaona ajabu mfano toa 10000 100000 n.k. majibu utayaona harka zaid na utaona kama uchawi.