Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Alhamisi, 19 Aprili 2018

mvuto wa kazi na biashara

Kwa wale wafanyi biashara


 pata mauwa kwa wingi ya huu mti hapo chini 

yakaushe yakisha kauka yapondwe pamoja na ubani 

kisha pata asali changanya pamoja

 tumia kwa kufusha kidogo kidogo katika biashara yako ama hata nyumbani ukinuilia biashara yako ama kazi yako vile unavotaka

kisha usisahau kuleta majibu hapahapa juu ya mabadiliko makubwa uliyoyaona