Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumapili, 22 Aprili 2018

Star of jerusalem,dawa ya kukufanya upendwe na kuheshimika

Hii inaitwa Star of jerusalem
kwa kiswahili sijui mnaiitaje
lakini hii ni mimea inayojulikana sana,yaani ipo sana majumbani mwetu
Hayo maua yake kama wewe unachukiwa na watu yaponde vizuri yakiwa hivyohivyo mabichi 
changanya na mafuta yako yakujipakaa mwilini
 tumia kujipakaa dawa hii kila siku utaanza kupendwa,kuheshimika na kukubalika na kila mwenye kukuona na mwenye chuki na wewe
Wale mnaohitaji kuwaweka sawa wapenzi wenu wake zenu waume zenu haswa wasiojali familia zenu basi usisite kuwasiliana nasi

wasiliana nasi kwa 
0657739713
0764995259 whatsapp
au tuandikie barua pepe 
tibazetutz@gmail.com