Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Alhamisi, 19 Aprili 2018

mwanaume shupavu,mwanaume mashine!

Wapendwa habari,yangu imani muwazima na kama hilivyo desturi kwetu ni kupashana machache na yaletayo faida kwa siku za baadae kwa matumizi ya afya zetu
Wanaume wengi ukumbwa na tatizo la kupungua nguvu wawapo kwenye tendo la ndoa na hata kukosa hamu ya kushiriki tendo,lakini bila kujua haya yote yakupatayo mpendwa siyo ugongwa,ni kweli akuna ugonjwa duniani uitwao nguvu za kiume.?
NINI MAANA YA NGUVU ZA KIUME
nguvu za kiume ni mtiririko au mkusanyiko Wa majina mengi yenye kuleta maana moja yenye kuleta neno NGUVU ZA KIUME
*Kukosa hamu
*Kukojoa mapema
*Kuchelewa sana kukojoa
*Kusimama kwa tabu
*Kupata goli moja na kushindwa kuendelea
*Uume kuwa legelege
*Uume kuwa mdogo kama Wa mtoto nk
VYANZO VIKUU VITATU
*Punyeto
*Shetani mahaba
*Jini mahaba
Hivi vyote umfanya mwanaume au mke kumchukia mmoja wapo,na tambua kuwa kujichua ni roho -hii uongozwa ni shetani mahaba
NINI KIFANYIKE
Tumia mchanganyiko Wa vyakula maana wapo ambao ujitibu kwa gharama kubwa na pasipo mafanikio,na mwishowe kubaki walivyo
MPENDWA TIBA SIYO KUPATA DAWA,TIBA NI KUJUA NINI UNAUMWA NA NDIPO KUPATA DAWA
Tendo la uume kuwa na nguvu na kuweza kusimama ni kitendo ambacho kina kuwa ni hatua moja kwenye nyengine kitendo cha kusimama kinahusisha mfumo Wa fahamu kama vile ubongo,uti Wa mgongo,mishipa ya fahamu na mfumo Wa damu pia mfumo Wa tezi zinazo mwaga vichocheo kama vile Homoni
TUMIA HUU MCHANGANYIKO HAPA
*Tangawizi
*Asali
*Strawberry
*Rozi tunda
*Apple
*Ng'afu
*Ndimu
*Tikiti maji
*Nyanya chungu
ROSE TUNDA
Ni chakula chenye Elements karibia zote zinazoitajika mwilini mwa binadamu,kwani ni chakula chenye nishati pia uingeza akili
NYANYA CHUNGU
hii hipo kwenye aina za mboga mboga.
Namna ya kufanya mchanganyiko huu kuwa Dawa blend tikiti maji kuwa juice kisha chemsha na lichemke vizuri,kisha weka nyanya chungu iliyo sagwa,kamulia ndimu,kisha epua na subiri ipowe kama dk 30 na baada ya hapo weka tangawizi juice,Ng'afu,Asali,strawberry juice,rozi tunda na Apple juice kisha ifadhi na kwa tayari kwa matumizi
Tumia kwa kunywa glasi 1×2 kwa kila siku na utakuwa mwanaume mashine
NB-:Tumia Dawa hii kabla ya kula na akikisha usiwe mtumiaji Wa pombe ilikupata matokeo rasmi ya Dawa yako
Kwa Tiba na ushauri juu ya changamoto yeyote wasiliana nasi
0657739713
0764995259