Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Alhamisi, 14 Septemba 2017

Mahakama ya Kisutu imemuachia huru Yusuf Manji





Mfanyabiashara Yusuf Manji na wenzake watatu waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi kwa kukutwa wakiwa na mabunda 35 ya vitambaa vinavyotumika kutengeneza sare za Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) zenye thamani ya Sh milioni 192.5 wameachiwa huru baada ya kesi yao kufutwa na Mahakama ya Kisutu.

Kesi hiyo imefutwa baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka(DPP) kusema hana nia ya kuendelea na kesi hiyo.

Habari zaidi soma

=> Yusuf Manji ashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kukutwa na sare za JWTZ

=>Uhujumu Uchumi: Yusuf Manji asomewa mashtaka kitandani... Anyimwa dhamana!