Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Alhamisi, 14 Septemba 2017

mizizi ya kifaurongo ina uwezo wa kukufanya ushinde kesi



mizizi ya kifaurongo umekuwa unatumika kwa miaka sana na wataalam wa elimu hiz kwa ajili ya kumuepusha mtu na kesi yoyote inayomkabili aweze kushinda 

jinsi ya kutumia mizizi ya kifaurongo hili kushinda kesi inayokukabili
chukuwa mizizi mitatu ya kifaurongo na mizizi mitatu ya kishinde na uchanganye na uvumba punje3 kisha funga pamoja na mwenye kesi aweke mfukoni kombora hilo upande wa kuliani kwake

 nenda kwenye kesi yako na utapata majibu mazuri uliyoyakusudia.

ZINGATIA
unapoenda kuchuma huo kifaurongo unatakiwa uchukuwe mchele kabla ya kuchimba unarushiarushia ule mchele kwenye mti huo  huku unauzungumzisha shida yako.