Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Alhamisi, 14 Septemba 2017

utabiri wa nyota zenu leo 14/sept/2017

(Punda)
Utaelewana na ulie gombana nae mapenzi yatakua mazuri na mtu wako na unachokifatilia basi utafanikiwa
(Ng'ombe)
Uliegombana nae bado anakisasi na wewe na uko uwendako kua makini na migogoro au makelele
(Mapacha)
Utapata furaha siku ya leo mipango yako pangilia vizuri ahadi zako zitakwenda vizuri
(Kaa)
Kua mpole siku yaleo makelele au migogoro itakuondoshea bahati zako na utashudia ugomvu wa ndugu au jamaa
(Simba)
Siku ya leo utapokea habari za furaha fatili mipango yako safari zako zitakua na kheri siku ya leo
(Mashuke)
Utashuhudia ugomvi siku ya leo na usijiusishe na ushaidi wowote ule kua mvumilivu mipango yako itabadilika
(Mizani)
Utasumbuliwa na maradhi ila yatakutoka mahusiano juu ya mapenz yatakua na sura mpya
(Ng'e)
Fatilia madeni yako na unae daiwa lipa madeni ya watu ili ujiongezee kipato chako kuna baraka pia
(Mshale)
Utapokea taarifa za mgonjwa au msiba ila zitakua na neema mbele mwili wako autakua vizuri pia
(Mbuzi)
Utatapa marafiki wapya watakua na faida kwako mgeni atakae kumfata kutaka ushauli mshauli tu na utapata mafanikio
(Ndoo)
Uko kazini au nyumbani kua makini na watu zako watakutia kwenye asala tena uwe mwangalifu
(Samaki)
Unae mdai basi atakupa deni lako utapata ulichkokua unakisubilia kwa muda mrefu uliwazo basi ni kweli