Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumatano, 6 Septemba 2017

ugonjwa wa vikanga / sunzua (GENITAL WARTS )


⚡SUNZUA ni ugonjwa wa ngozi unao sababishwa na virusi vya aina ya HUMAN PAPILOMA {{ HPV }} ambapo huota kama vipele au vinyama ambapo mara nying unapo kitumbua ndo huongeza vingine, ila ukitumbua na kupaka dawa hukauka.


⚡SUNZUA mara nyingi huota kwenye sehemu za siri haswa sehemu za siri za mbele na pembene mwa uume au uke na hata nyuma ndio sababu ya watu wengi kutopenda kusema kwa kua huona aibu

⚡ni ugonjwa unao weza tokea sehemu nyingine za mwili kama vile
 ðŸ‘‰mikononi
👉usoni  na
👉mdomo haswa pembezoni mwa mdomo kwa wale wenye kunyonya sehemu za siri,

⚡huu ugonjwa husambwazwa kwa kupitia kufanya jimai haswa panapo kua na michubuko ndio maana wanawake wengi hupata ugonjwa huu kutokana na maumbile yao kua malaini

 

MADHARA YA UGONJWA HUU 

⚡HPV sio kwamba ni kirusi cha aina moja hapana wako wa aina mia moja 30 kati yao husababisha maradhi ya ngozi kwenye sehemu za siri na vipele KUONEKANA hao ni type 6 na type 11

70% ya wanao bakia hua ni wale wanao athiri sehemu zingine za mwili kama mkononi usoni na miguuni

ILA HPV ISIYO ONEKANA KWENYE VIUNGO VYA SIRI YAANi VINAVYO OTA NDANI MARA NYINGI HUPELEKEA KANSA YA SHINGO YA KIZAZI NA ATAKAE NYONYA KIUNGO HICHO HUPELEKEA KUPATA KANSA YA KO