Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumanne, 26 Septemba 2017

Faida 8 za ndimu usizozifahamu

1-NDIMU  ni  dawa mzuri ya meno
a- kuuwa wadudu wanao shambulia meno.
b- kuondoa harufu mbaya mdomon
c-kuyalinda meno yasishambuliwe na wadudu  nk

2- NDIMU huupa mwili nguvu na kuponya VIDONDA VYA TUMBO

3-NDIMU humaliza tatizo la u.t.i sugu na malaria

4-NDIMU  hutumika kwa kuvunja vunja ngome za majini   wachawi na kumtuliza jini mkorofi
Chukua mbegu  za ndimu zisage ziwe unga au unaweza kujifukiza hivyo hivyo  x 2 kwa kutwa siku 7

Ponda punje saba za kitunguu saumu  kamulia ndimu 3 jipakae mwili mzima wakati wa kulala au asubuhi na sikiliza quran suratu swafaat nzima na suratul buruji

 Fanya utaratibu huu siku 7 mfurulizo  jini mkorofi anaweza kuondoka moja kwa moja au kutulia kama kapigwa mivyororo.(kufungwa)

5-NDIMU hutumika kusambaratisha sihri (uchawi)  na kuosha mwili

6-NDIMU hutumika kwa  kufuta chale za wanga (wachawi)

7-NDIMU hutumika kumsaidia mtu alie anguka chooni  ili asipate  matatizo ya kupalalaizi (kiharusi)

8-NDIMU hutumika  kwa kumsaidia mtu anaesumbuliwa na matatizo ya ganzi

0653 532036 WhatsApp
0621 393353
0764 995259
Tibazetutz@gmail.com