Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumapili, 24 Januari 2016

KUONDOA TATIZO LA CHANGO LA UZAZI

CHANGO LA UZAZI
~Hili ni tatizo sugu kabisa linalowasumbua wanawake wengi,tatizo hili linaweza kusababisha kuziba kwa njia ya uzazi na inapofikia katika hali hiyo mwanamke anakuwa ni vigumu kushika ujauzito.


TIBA YAKE
~chukua tende na utengeneze juice nzitonzito upate glass2 na uchanganye na habbatsauda kijiko1 kila glass.kisha unywe glass1 kutwa mara2 kila siku kwa siku 11 au zaidi,basi tatizo hili litaondoka.

TENDE~Mbegu za tende zisagwe kwa kutumia njia yoyote ili upatikane unga,uchanganywe na maziwa kijiko kimoja kikubwa kwa glass ya maziwa kutwa mara2



TIBA YA 2
~Tengeneza juice ya kitunguu maji na uichemshe ikiiva vizuri unywe kikombe kimoja kidogo cha chai kila asubuhi kwa siku7 ni tiba nzuri kwa chango la uzazi 



TIBA YA 3
~Unga wa tura ni mzuri pia kwa tiba ya chango la uzazi,utasaga upate unga na utauanika ukauke vizuri,huu inabidi uchanganywe na maziwa,kijiko kimoja kidogo cha unga wa tura kwa glass1 ya maziwa kutwa mara 2 siku 7