Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumatano, 27 Januari 2016

WANAVYOFANYA WACHAWI KUMVUJISHA DAMU MFULULIZO MWANAMKE



~Kama tulivyoeleza kwenye mada iliyopita lengo 
tunataka ujue wanachokifanya wachawi mpaka unakutwa
 na hiyo hali, 
cha msingi kama una hilo tatizo tafuta tiba utapona na 
usiige kufanya kilichoandikwa.

Wanawake wengi ni wahanga wa tatizo hili la kuvujishwa
 damu yaani damu ya hedhi haikati kila siku yeye 
anatumia tuu...Allah awaponye wote wenye tatizo hili na 
awalaani wachawi wote aaamin



                                           WANAVYOFANYA UCHAWI HUU
~WANACHUKUA KOPO JIPYA KABISA 
LA PLASTIKI AMBALO HALIJAWAHI 
KUTUMIWA NA WANALIANDIKA MANENO
 HAYA
---------------------------------------------------------------[Nayaficha 

kwa sababu ni maneno mazito ya kufru na kuwaapia 
mabwana zao wa kishetani kuwatukuza kuwasifu na 
kuwaabudia kuwa wao ndyo wenye nguvu kuliko 
muumba wala chochote, na mwisho wanamalizia 
kuandika jina la binti anayetakiwa kuvujishwa damu na 
jina la mamake au km hawamjui mamake hutumika 
HAWAA mama wa binadamu wote na wakimaliza kopo 
hilo wanalifukiza haltiti,nywele7 za sehemu za siri za 
punda mweusi na damu ya hedhi wanachanganya 
pamoja na kulifukiza kopo hilo.



~Baada ya kumaliza hapo hilo kopo linatobolewa 
kwenye kitako na sindanO au msumari mdogo sana kiasi
 cha kupata kitobo tuu

~Baada ya hapo wanalitundika kopo juu ya mti wowote 
na wanalitia maji


~vile maji yakidondoka ndo ndo ndo ndo ndo kupitia 
kwenye kile kitobo huyu mwanamke ataanza kutokwa na
damu  na damu hiyo haikati


~Kazi anayoifanya mchawi hapa ni kuongeza maji kila 
yakiisha huku mwanamke anaendelea kuteseka kwa 
kuvuja damu.......


katika uchawi huu zipo njia nyingi sana ivyo tiba yake 

upate tabibu agundue njia iliyotumika atakutibu


MUNGU ATUNUSURU NA WACHAWI WALIOLAANIWA 
......AAAMIN




KWA TIBA,MAONI,USHAURI UNAWEZA 

KUWASILIANA NASI KWA 

0653 532036

AU TUANDIKIE BARUA PEPE

TIBAZETUTZ@GMAIL.COM