Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumatano, 27 Januari 2016

WACHAWI WANAVYOMFUNGA MWANAUME UUME USISIMAME WALA ASIKOJOE

watu wengi wanakutwa na matatizo ya kichawi na
 hawajitambui sababu ya kuwa na uelewa mchache juu 
ya elimu ya mambo hayo

sasa Tiba Zetu Inakuja kukufunulia na kukupatia elimu
 ya kuyatambua matendo hayo ya kichawi na jinsi 
wanavyoyafanya hadi kuleta athari kwa mkusudiwa


LENGO LA MAKALA HIZI NI KUFUNUA NA KUWEKA
 WAZI SIRI NA MATENDO WANAYOYAFANYA WACHAWI
MPAKA INAFIKIA MTU  ANADHURIKA

TAFADHALI USIIGE UKAFANYA UKIJUA TUU JINSI
 WANAVYOFANYA INATOSHA ILI YAKIKUPATA UJUE NI
 KITU GANI KIMEKUSIBU UKATAFUTE TIBA.

JINSI WACHAWI WANAVYOMFUNGA MWANAUME 
UUME USISIMAME WALA ASIMWAGE MANII

~Miongoni mwa matendo wanayoyapenda wachawi ni
 haya ya kuwatesa wanandoa wasiweze kufurahia tendo
 ipasavyo kwa kumsababishia matatizo mume au mke 
leo tunaangalia upande wa wanaume.

~katika hali hii pia wapo wanaume wengine wakikuhisi 
una mahusiano ya kimapenzi na mke au mpenzi wake 
humwendea mganga na kukufanyia uchawi huu.na
 hatimaye mzee wa michepuko ukirudi kwako unajikuta 
mzee hasimami na manii yamefungwa hata ukisisimama
 huwez kukojoa

WANAVYOFANYA UCHAWI HUU

wanaume wenzangu tusipende kukojoa ovyoovyo 
manjiani kama mbuzi

~pindi utakapokojoa kwenye ardhi mchawi aliyekusudia 
kukufanyia uchawi huu anakuja na kuchukua mkojo 
wako pale ulipokojoa yaani anachukua udongo wa 
kutosha.

~kinachofuata anautumia udongo ule kuchora kama 
kiwiliwili cha mtoto wa kiume juu ya ardhi na anaandika 
juu yake kwa kutumia msumari aya hii ili amkufuru 
mungu afurahiwe na shetani na aje kumtumikia 
kusafirisha athari.

''THUMMA AMAATAHU FAAQBALAH'' Kisha mbele ya 
aya anaongezea kuandika

 ''KADHAALIKA IFE DHAKARI YA FULANI NA IFUNGWE.
 NA ANASOMA AYA HIYO NILIYOANDIKA HAPO JUU 
KWA KUIGEUZAGEUZA OVYOOVYO MARA31 NA 
SHETANI MTUMISHI AKIONA JINSI BINADAMU 
ANAVYOKUFURU ANAFURAHI NA KUMUITIKIA KWA 
KUMSAIDIA KUSAFIRISHA ATHARI

KWA UPANDE WA ANAYEFANYIWA GHAFLA NA 
HUKO YANAMFIKA MAZITO UUME HAUSIMAMI WALA 
HAUTOI MANII..........



UKITAKA KUWA HURU 

Ukikutwa na hyo hali ya kifungo cha kichawi lazima 
uchanganyikiwe,kwani ushazoea kutembeza fimbo lakini 
sasa kimekuwa kifimbo cheza duuh pole sana....

~chukua sahani ya kijani andika kwa kutumia wino wa 
zafarani nyekundu aya hii THUMMA
 IDHAASHAAANSHARAHU[najaribu kuandika kiswahili 
iwe wepesi kuelewa nikikosea aya sahihisha]

~weka maji na uyeyushe maandishi hayo kunywa na 
ujipake kwa babu ghafla kifimbo kitasimama kama simba



KWA JAMBO LOLOTE KUHUSU MARADHI YA KIMWILI
 NA KIROHO USISITE

0653 532036

Tibazetu@gmail.com