Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumapili, 17 Januari 2016

VIAPO VYA KICHAWI NA DUA ZA KUJITIBU UCHAWI WAO

Mtu anapoamua kujiingiza kwenye chama cha wachawi au hata akilazimishwa na kusajiliwa kilazima kwenye chama cha wachawi basi watu hawa ni lazima waape viapo vyao maalum kama unavyoona Rais wa nchi anapoingia madarakani huapa kuwa atailinda na kuiendeleza nchi na hata hawa washirikina nao huapa kuulinda na kuuendeleza uchawi,kutunza siri zao bila kuzitoa,kuwaua watoto wao,wazazi wao n.k

Pindi tuu mchawi anapoingia kwenye kiapo anatakiwa avalishwe nafsi ya mnyama mkali na kuuvua utu na ubinadamu pamoja na kuitupilia mbali aibu,imani na kukosa haya,pia kuwa jasiri katika kumkufuru na kumtukana mungu wao aliyewaumba{msiba mkubwa huu}
tibazetu.blogspot.com
hapa ndiyo wanaanza kazi baada ya kuwa wameshaapiana na mabwana zao wa kishetani wa kijini  na atakayejaribu kuvunja kiapo adhabu yake anaweza ipata yeye mwenyewe au mtu miongoni mwa familia yake ambaye atatolewa kafara kwa kuliwa nyama au kama ni mchawi mwenyewe anauliwa kiungo kimoja na wenzake wanafanya msosi

Wapo baadhi ya watu huingizwa uchawini na jamaa zao wa karibu bila kupenda na mwishowe hujikuta tayari ameshakula kiapo na kuwa mwanachama safi kabisa na kuanzia hapo huwezi tena kujitoa au kufanya juhudi zozote za kujinasua.
tibazetu.blogspot.com
0653 532036
Kuna watu wengine sura zao huchukuliwa na wachawi na zikatumika katika safari zao wanazoenda kuroga na kinachofuata ni kuwa mtu yule ambaye sura yake ambayo imechukuliwa na wachawi watu wa mtaani  wataanza kumtupia lawama za kuwa yeye ni mchawi hali ya kuwa hajui chochote kinachoendelea


DUA ZA KUJITIBU MARADHI YA KICHWA 
Kama unaumwa kichwa kinachotokana na mambo ya kichawi au mashetani basi chukua maji na uyasomee dua hii,unywe na ujimwagie kichwani au ukishike kichwa hicho na usomee dua hii
''BISMILLAH ARQIIKA WALLAHU YASH-FIIKA MIN KULLI DAIN YUUDHIKA WA MIN KULLI NAFSIN AU AININ HASID ALLAHU YASHFIIKA BISMILLAH ARQIIKA


tibazetu.blogspot.com
MARADHI YENYE KUHAMAHAMA
Kama umepatwa na maradhi yenye uchawi wa kuhamahama mwilini soma dua katika maji na unywe mara kwa mara  uwezavyo na ushike sehemu ya maumivu usome kwa ikhlaasw 
''ALLAHUMMA RABBA NNASI ADH HABI LBASA WA SHIF ANTA SSHAFI LA SHIFAA ILLA SHIFAUKA SHIFAAAN LAA YUGHAADIRU SAQAMAN


ALIYEPATWA NA WENDAWAZIMU
Ikiwa mtu amefanyiwa uchawi na akapatwa na uendawazimu basi msomee aya hizi
1.surat fathax7
2.surat nnaasx7
3.alfalaq x7
4.ayaturkursiyyu7
5yaasin1
kisha muandikie kombe la surat falaq kwa kutumia zafarani nyekundu awe anakunywa kutwa mara 3 ujazo wa glass1.
umfanyie hivi siku21 mfululizo Inshaa Allah atapona.



MTOTO MCHANGA MCHANA ANACHEZA USIKU ANALIA SANA
Wakati mwingine mtoto akiwa analia sana usiku na kuweweseka huwa amefanyiwa uchawi,anaona watu watishao nk,basi ukitaka kumuondolea hiyo hali msomee surat lfalaq3,ayaturkursiyyu3,kisha chukua mvuje utie kwenye maji na umuogeshe nayo,fanya kwa siku3 mpk 7 mfululizo ataacha kulia na atalala vizuri inshaa Allah 

MWANAMKE ANAYETOKWA NA  DAMU YA HEDHI MFULULIZO 
Ikiwa mwanamke ampatwa na hali hii ya kutokukata kwa damu yake ya hedhi,ikiwa inatokana na uchawi ukitaka kuitibu tia udhu na umsomee aya hizi Fatha7,annaas7,falaq7,na kisha muandikie kombe kwa kutumia zafarani andika surat hashri aya ya 22,anywe na asomewe siku 7 mfululizo atapona mungu akipenda.
  
kwa maoni na ushauri 
0653 532036
au tuandikie tibazetutz@gmail.com