Habari yako mpendwa mfuatiliaji wa makala zetu katika blog yako uipendayo ya tibazetu.blogspot.com
Kama tulivyosoma katika somo letu la jana katika jinsi ya utafutaji nyota yako,sasa baada ya kuifahamu nyota yako unapaswa uzijue kazi ambazo ndiyo zinazoendana na nyota yako hiyo katika kukupatia mafanikio kiurahisi tofauti na ukifanya kazi nyingine ambayo si sahihi kwa mujibu wa nyota yako.
1.NYOTA YA PUNDA;ARIES
jeshi,uokoaji,michezo,uuzaji,upasuaji,ualimu,masuala ya fedha
2.NG'OMBE;TAURUS
muziki,vyakula,ujenzi,mashamba,uhasibu,sanaa za uchoraji na uchongaji
3.MAPACHA;GEMINI
Utangazaji,uchapishaji,ualimu,ushauri,ufasiri,kusafiri
4.KAA;CANCER
madawa,baharini,upishi,watoto,bank,foreman,uandishi
5.SIMBA;LEO
Usimamizi,michezo,sonara,mwanamitindo,sinema,maswala ya vijana na ualimu
6.MASHUKE;VIRGO
Uchapishaji,uongozi,elimu,secretary
7.MIZANI;LIBRA
Uhusiano wa jamii,ushauri wa ndoa,sanaa,urembo,sheria
8.NGE;SCORPION
Madawa,upelelezi wa uchunguzi,mafundi bomba,historia ya mabaki ya viumbe,ushauri wa ngono
9.MSHALE;SAGITARIUS
sheria,uandishi,ualimu,dini,michezo,jeshi,kuuza
10.MBUZI;CAPRICON
injinia,ramani za majumba,saveya,kazi za serikali,siasa,dokta wa meno
11.NDOO;AQUARIES
fundi,umeme,computer,uchunguzi kisayansi,kazi za jamii,unajimu,mazingira
12.SAMAKI;PIECES
unesi,muziki,dansi,uigizaji,askari maji,chapa,ushauri