Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumatano, 28 Oktoba 2015

JINNI HUYU UNAISHI NAE NYUMBANI KWAKO

JINNI AMIRUL BAYT

huyu ni jini anayependa sana kuishi katika majumba ya watu,anaishi ndani hapo kipindi chote watakachoishi watu hao, nae hupenda kujiona kama mwanafamilia,utakula nae,kunywa nae na hata kufanya mema au maovu pamoja nae.

jinni huyu huwa anaiga tabia ya wenyeji wake wanaoishi hapo ndani mkiwa ni waovu au wema basi nayeye anakuwa hivyohivyo na kama watu wa nyumba hii watakuwa si wachamungu basi akibadilika na kuiga tabia zao huwa mshenzi sana na hapo ndiyo anapoanza balaa la kuwatesa watu wa nyumba hii.


SABABU ZA JINNI HUYU KUMUINGIA MTU

~mtu kupenda kukaa uci nyumbani na kujiangalia kwenye kioo na kujisifu uzuri wake

 ~mtu kupenda kufanya uadui na viumbe hawa  hata kama elimu yake ndogo juu yao

~kupenda kufanya zinaa,liwaatwi, akiwa hapo nyumbani kwake

~kuhuzunika na kulia bila sababu mara kwa mara

DALILI ZA MTU MWENYE JINI HUYU MWILINI

~kupenda sana kukaa nyumbani na kutokupenda kufanya kazi

~kulia sana bila sababu za msingi

~kuwa na hofu sana na kufadhaika sana moyoni kila wakati

~ kuota mara kwa mara ndoto za wanyama wakali wakikushambulia

~kuhisi unatembelewa na wadudu mwilini

tiba ni kusomewa visomo maalum au dawa zilizosomewa visomo hivi..............

tibazetutz@gmail.com
asiliana na dr.chambas
0653 532036
0764 995259