Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Ijumaa, 23 Oktoba 2015

UCHAWI WA KUVUNJA NDOA



DADA ZANGU MPOOOOOOOOOOOOOOOO

si kila anayekosa mume hana bahati hapana,wengine wamefanyiwa

UCHAWI WA KUVUNJA NDOA

~Hii ni aina ya uchawi miongoni mwa aina za uchawi ambazo zimeenea sana katika karne yetu hii..uchawi huu huweza kufanyiwa mwanaume na mwanamke pia, ingawa sana hufanywa kwa wanawake

JINSI UNAVYOFANYIKA~Mtu yeyote mwenye chuki na wewe iwe mmekosana au chuki zake tuu kutokana na roho mbaya yake huweza kumwendea mchawi maluuni na akamwambia nataka fulani binti fulani asiolewe kamwe maisha yake yote,na hapo mchawi akataka apewe vitu vifuatavyo ambavyo hutumiwa katika kusafirisha athari ya uchawi wao kwa haraka zaidi

1.ngu yoyote ambayo alishawahi kuivaa anayetaka kufanyiwa uchawi huu
2.nywele
3.kucha [kuweni makini msikate kucha ovyo]
4.chupi [ni vizuri uanike chumbani kwako pindi unapozifua]
5.vitambaa vya damu ya hedhi [hivi ndyo muwe makini navyo sana usitupe ovyo maana wakivipata hata kizazi ni rahisi kukufunga]

baada ya mchawi kupata kitu kimoja wapo kati ya vitu hivyo ambavyo anavyohitaji huingia navyo kwenye chumba cha giza, kisha anafanya kufru nzito na shetani wake anakuja kumtumikia na wanavitengeneza vile vitu kisha yule jinni anatumwa kwenda kumuingia yule mwanamke anayetakiwa asiolewe maisha yake yote,jinni naye anatii, yuleeeeee anakujaaaaaaaaaaa

anapofika kwa mwanamke husika hamuingii kwanza bali hukaa karibu yake muda mrefu akivizia apate nafasi nzuri zaidi ndyo amuingie

jinni huyu humuingia huyu mwanamke pindi tuu mwanamke huyu anapopatwa na hali fulani ambazo ni

 1.Wakati wa hofu nyingi
2.wakati wa ghadhabu na hasira
3.wakati ameghafirika na jambo
4.wakati wa kufanya mambo maovu

hapo sasa ndyo nafasi yake ya kumuingia.Na anapomuingia jinni huyu huwa baina ya hali mbili ambazo ni

1.Humfanya mwanamke aone dhiki moyoni,akose raha na amani,wasiwasi wa moyo,na kumuona kila anayekuja kwao kumposa ni mbaaaaaaya.

2.au jinni huyu humfanya mwanaume yeyote anayekuwa na mwanamke huyu asiweze kwenda kwao kumposa kwani ghafla atamuona mwanamke ni mbaaaaaya,hana hadhi ya kuwa naye,anatamani amchezee tuu na moyo wake hukosa raha kila anapokutana nae.

Basi hapo sasa kitakachotokea ni kuwa kila mwanaume ambaye atakuja kumposa mwanamke huyu mipango ikishapangwa ghafla tuu anabadilika na anakuwa hamtaki pasipo na sababu yoyote ya msingi hata kama mwanzo alikuwa anampenda kama nafsi yake.na hali hii hutokana na yule jinni aliyetumwa kwa mwanamke huyu,

Kadri siku zinavyoenda yule jini hujenga nyumba yake mule mwilini mwa yule mwanamke na huanza kuweka uchawi, hapo sasa uchawi unapokomaa sana hali itazidi kuwa mbaya kiupande wa huyu mwanamke kwani kama itatokea mwanaume ataenda kumposa huyu mwanamke akifika kwao na kuingia tuu ndani basi ghafla hujihisi dhiki kubwa moyoni,maisha anayaona giza,anajihisi kama yupo gerezani na akitoka hapo ndiyo bye bye harudi tena kamwe........................................

Katika kipindi chote hicho mwanamke huyu atakuwa anasumbuliwa na maumivu ya kichwa mara kwa mara

DALILI ZA UCHAWI WA KUVUNJA NDOA
1.Kuumwa na kichwa kisichoisha kila baada ya muda fulani hata akitumia dawa

2.Kuhisi dhiki kubwa moyoni hasa baada ya Alasiri mpaka katikati ya usiku

3.Kumuona kila anayetaka kukuposa ni mbaaya

4.Kuwa na tabia ya kuwa na mawazo sana,kisha kuwa na kawaida ya kusahahusahau

5.Kuweweseka usingizini

6.Wakati mwingine kuumwa sana na tumbo siku za bleeding

7.Maumivu katika pingili la chini la uti wa mgongo

WAKATI MWINGINE JINNI HUYU HUGEUKA NA KUWA MAHABA HIVYO ANAKUWA ANAJILIA MWENYEWE TARTIIIIIIIIIIIIIIIIIIIBU..... 

 Kwa tiba na ushauri 
Docter Ally Chambas
+255 653 532036
+255 764 995259
tibazetu@gmail.com
tibazetu.blogspot.com