Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Alhamisi, 29 Oktoba 2015

KURUTUBISHA MBEGU ZA UZAZI NA KUZIBUA MIRIJA


hamjambo waungwana

 TIBA YA KURUTUBISHA MBEGU ZA UZAZI ZA MWANAUME


~Imezoeleka katika jamii nyingi kuwa ukosefu wa uzazi huwa ni tatizo la wanawake tuu,laa hasha bali tatizo hili huweza kuwa kwa wanaume pia endapo kutakuwa na upungufu katika mbegu zake hata kama anaweza kufanya mapenzi na kumwaga manii hiyo sio alama ya kukosa tatizo.

ili kuzirutubisha mbegu hizo za watoto nakushauri tumia dawa hizi

~ ubani dhukra robo kg
~shamari robo kg

 ~zaatari robo kg

zitwange dawa hizo na uzichekeche vizuri,atumie mgonjwa kijiko kimoja cha chakula kwenye glass ya maziwa fresh asubuhi kabla ya kula na usiku kabla ya kulala SIKU 21





KUZIBA KWA MIRIJA YA UZAZI

wapo baadhi ya wanawake hawapati ujauzito kutokana na ttzo la kuziba kwa mirija yao ya uzazi

 tafuta dawa hizi

 ubani dhukra vijiko3 vya chakula
unga wa shamari vijiko3
unga wa zaatari vijiko 3



chemsha unga huo kwa maji lita 1.5 kunywa kikombe cha kahawa mara tano kwa siku ndani ya siku 11 huku unafanya jimai na mumeo utapata mimba in shaa ALLAH