Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Ijumaa, 23 Oktoba 2015

JINSI YA KUWAKINGA WANYAMA WAKO NA SHARI ZA WATU WABAYA





~Mara nyingi nimekuwa nikielezea na kufundisha jinsi ya bin adam kujitibu na kujikinga juu ya viumbe wabaya katika mashetani wa kijini na bin adam


Kuna mmoja miongoni mwetu alitaka kufahamu jinsi ya kuwakinga wanyama wake dhidi ya shari za viumbe hao nami nimeona ni bora nimjibu hapa ili kila mmoja apate kufaidika.....

Hii unaweza kufanya pindi unapoona wanyama wako unaowafuga wanakufa ovyo,wanaumwaumwa maradhi ya ajabu,hawako katika hali nzuri...pia ni vizuri zaidi kama utaifanya kama KINGA kwa wanyama hao ili wasiweze kuhusudiwa inshaa Allah.ni vzr zaidi ukifanya kila baada ya miezi3

Andaa maji lita 20

Majani mabichi ya mkunazi yatwange

Wanyama wote waingize zizini au bandani

Chimba mfereji mdogo kuzunguka banda au zizi

Tia yale majani kiganja1 cha majani kwenye maji ya lita20

Anza kuyasomea sura hizi huku pumzi inaingia kwnye galloni la maji

1.al faatiha 7
2.Kursiyyu 7
3.al an am 1

Kisha zunguka banda hilo huku unasoma LAA HAWLA WALAA QUWWATA ILLAA BILLAHI L ADHWIIM

Zunguka mara7 soma mara nyingi kadri uwezavyo.....na huku unamwagiamwagia yale maji kwenye banda.........yatakayobaki mwaga kidogo kuzunguka mfereji na mengine wawekee wanywe

UMEMALIZA NA HAWATAHUSUDIWA