Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Ijumaa, 23 Oktoba 2015

MAUMIVU YA HEDHI



Wapo baadhi ya akina mama wao hupatwa na maumivu makali mno,wanapokuwa katika ada zao za kutokwa na damu ya hedhi.kama na wewe ni mmojawapo nakushauri tumia dawa hii kisha ulete feedback.....................................................................

Chukua NANAA kiasi cha robo kg
ichemshe kwa maji lita2 na nusu

hakikisha inachemka hadi maji hayo yabaki lita2 tuu

Anywe mdada huyu anayepatwa na maumivu ya hedhi kikombe kimoja cha chai kutwa mara 2

ni vizuri zaidi akitumia kipndi ambacho anaona dalili ya kuingia hedhini
MAUMIVU YATAKUACHA