Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Ijumaa, 30 Oktoba 2015

UUME KUWA MFUPI NA MDOGO SANA

 Matatizo kama haya ni matatizo yanayowakabili wanaume wengi duniani,lakini kwa kuwa ni maradhi ya siri ndipo hapo huendelea kubakia ni siri kati ya mtu na mkewe.

lakini lazima watu wajue kuwa maradhi haya ni katika maradhi mabaya sana,kwani mwenye maradhi ya kuwa na uume mfupi na mdogo sana huathirika sana kisaikolojia



 NINI  CHANZO  CHA  UUME  KUWA MFUPI NA MDOGO.

1. Kupiga  Punyeto  kwa  muda  mrefu..Hali  hii  husababisha  kusinyaa  kwa  uume  na  hatimaye  uume  kurudi  ndani.


2. Kuugua chango  la  uzazi.


3. Magonjwa  ya utotoni.


4. Kutahiriwa  mapema 



5. Kurithi  kutoka  kwa  wazazi  :Wanaume  wengine  wana  maumbile  madogo  kwa  sababu wamerithi maumbile hayo kutoka kwa  wazazi  wao



maneno ya kuzungumza juu ya maradhi haya ni mengi sana,lakini la msingi sana zingatia hii tiba itakusaidia kumfanya huyo mheshimiwa awe mrefu na mnene na mwenye misuli iliyokaza vizuri.....



TIBA
Tafuta mbegu za katani na maji ya wardi



MATAYARISHO
Zitwange mbegu hizo upate unga wake kisha chukua unga huo kiasi cha vijiko 5 vya chakula



Changanya na maji ya wardi kiasi cha vijiko 5 vya chakula



Kisha anza kuuchua uume huo huku ukiunyoosha mishipa yake kwa kutumia mchanganyiko huo wa dawa



utafanya hivi kwa muda wa siku 21



kipindi unatumia hii dawa ukifikisha size yako unayoipenda basi acha kutumia dawa


kwa anayehitaji dawa za kuondoa hili tatizo anaweza 
kuwasiliana nasi kwa namba hizi

+255 653 532036
+255 764 995259

au barua pepe
tibazetutz@gmail.com