Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumapili, 25 Oktoba 2015

UCHAWI WA KUGOMBANISHA

Hii ni miongoni mwa aina za uchawi ambazo zimewaathiri na zinaendelea kuwaathiri watu wengi sana duniani,na huu ni uchawi maalum unaofanywa ili kuwagombanisha mtu na mkewe,au kueneza chuki baina ya marafiki,ndugu na hata washirika katika biashara na mambo mengine.

 mtume s.a.w amesema ''ibilisi hukiweka kiti chake juu ya maji kisha akavituma vikosi vyake.basi mwenye cheo cha karibu zaidi na yeye ni yule mwenye fitna kubwa zaidi.mmoja wao huja na kusema  ''nimefanya kadha wa kadha''
yeye humwambia ''hujafanya kitu''

kisha atakuja mwingine na kusema ''sijamuacha binadamu mpaka nimemgombanisha yeye na mkewe''.basi hapo ibilisi anamkaribisha kwake mtumishi wake huyo na humwambia ''wewe ni askari mzuri sana...[muslim [17/157 nawawy].

Hii inamaananisha Ibilisi anafurahi sana anapoona watumishi wake wachawi wanapofanya uchawi huu wa kugombanisha watu kuliko jambo jingine

                                      AINA ZAKE

 ~Kugombanisha baina ya mtu na mama yake

~Kugombanisha baina ya mtu na baba yake

~Kugombanisha baina ya mtu na ndugu yake

~Kugombanisha baina ya mtu na rafiki yake

~Kugombanisha baina ya mtu na mshirika wake katika biashara au jambo jingine

~kugombanisha baina ya mtu na mkewe na hii ndiyo inayofanyika sana na ndiyo hatari mno


   
JINSI WANAVYOFANYA WACHAWI KATIKA KUUFANYA UCHAWI HUU 

Mchawi anapotaka agombanishe baina ya fulani na mkewe huchukua jina la mwanaume anayekusudiwa na jina la mama yake,na pia huchukua moja mojawapo katika athari zake ambayo ni lazima iwe nguo ambayo ameshaivaa na haijafuliwa,nywele,kofia,kucha,mate na chochote kile kinachomuhusu mwanaume huyu.


Baada ya kuvipata hivyo anatumia njia maalum za kumuita shetani wake wanayesaidiana katika kazi hii ya kumkufuru mungu wao aliyewaumba,wanazitengeneza athari hizo kichawi na anatumwa shetani huyo kuja kumaliza kazi hiyo.


Endapo kama itakuwa ngumu mchawi kuvipata vitu hivyo vya huyo mwanamume kutokana na ugumu labda wa mazingira wanayoishi au jambo lo0lote basi pia wanaweza kufanya uchawi huu kwenye maji na wakayamwaga kwenye njia atakayopita anayetakiwa kugombanishwa na mkewe au mumewe,na wanaweza kupita watu wengi njia hiyo bila kudhurika na chochote,lakini akipita tuu aliyekusudiwa basi hapo hapo shetani humkumba na kuivunja ndoa hiyo.


DALILI ZA MTU ALIYEROGWA UCHAWI HUU WA KUGOMBANISHA 

~Kwa ghafla hali hubadilika kutoka katika mapenzi na hatimaye mnaanza kuchukiana

~Kutoaminiana ghafla

~sababu ndogo tuu mnaikuza inakuwa kuubwa

~kuona mwenzio amekluwa mbaya sana 

~aliyepatwa na uchawi huu anachukia kila jambo analofanya mwenzie hata liwe jema yeye huona baya tuu

~aliyepatwa na uchawi huu hupachukia kila mahali anapokuwepo mwenzie,utakuta mume akiwa nje ya nyumba anakuwa na furaha na kucheka na marafiki zake lakini akiingia tuu ndani kwa mkewe basi hana raha na amani


                                                                     TIBA 
Mgonjwa asomewe visomo vya rukya kwa muda usiopungua siku 11 hadi 21 mfululizo
 majani mabichi ya mkunazi yasomewe aya za kuuharibu uchawi mara 7 kila aya atumie kwa kunywa na kuoga ndani ya siku zote za kufanyiwa dua


kwa tiba na ushauri unaweza kuwasiliana nasi kwa
+255 653 532036~whatsapp
+255 764 995259 
au barua pepe tibazetutz@gmail.com