Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Jumatano, 21 Oktoba 2015

YAJUE USIYOYAJUA


..................................................................................................................................................................
...................................................................................................................................................................                                                                  



1.style bora ya mwanaume anapotaka kushusha manii akiwa kwenye jimai ni yeye mume awe juu ya mke wakati anashusha..........hakika atakaposhusha manii yeye akiwa yupo juu ni bora zaidi kwake

2.usimuingilie mke wako wakati umeshiba sana bali pata muda upumzike mpk shibe ipungue

3.ni vizuri zaidi kumuingilia mke wakati wa mwisho wa usiku,kwani mungu akijaalia kupatikana mtoto katika tendo hilo atakuwa na akili nzuri na ufahamu mwepesi

4.wala usimuingilie mkeo ila mpaka umchezee[romance]na kuyachezea maziwa yake na uinyonye midomo yake ili zikusanyike hamu zako na zake,na umuangalie usoni mpk ugundue anakutamani umuingilie kama unavyotamani wewe kumuingilia yeye

5.mtu asimuingilie mkewe ila mpaka awe amejitoharisha[usipige game wakati anableed]kwani kufanya hivyo kuna madhara makubwa kidini na afya yako pia

6.mume kunywa glass1 ya maji ya baridi kwa mafunda baada ya kumaliza round ya kwanza husaidia kurudisha nguvu za uti wa mgongo,hutia nguvu manii na hurejesha uchangamfu

7.kumuingilia mke wako kwa harakaharaka[nje,ndani]huleta maradhi ya kupooza na kupoteza nguvu za kiume

8.mwanamke wakati unapomuingilia husikia ladha zaidi kuliko mwanaume kwa sababu mwanamke
~Husikia ladha kwa kuguswa kizazi chake na dhakari ya mume
~Husikia ladha kwa kujikatisha kiuno chake yeye mwenyewe
~kisha husikia ladha kwa kuchuruzika manii ndani ya mfuko wake wa uzazi mpaka yatakapotulizana

9.kutoka kwa said bin jarir amesema;wataadhibiwa watu siku ya qiyaama waliokuwa wakijichezea dhakari zao[punyeto]na watu hao watafufuliwa mikono yao ikiwa na mimba na hao ndiyo watu wa punyeto...wazee wa kupiga puuuu kazi kwenu sasa.

10.Usiwe na maongezi mengi saaana wakati wa kufanya mapenzi na mkeo kwani mkiruzukiwa mtoto huenda akawa kipofu

11.wala asimbusu mmoja wenu mke wake wakati anashusha manii kwenye tupu ya mkewe huyo kwani mkiruzukiwa mtoto kwa bao hilo huenda anaweza akawa kiziwi


12.waume msipende kupekuapekua tupu ya mwanamke na kuitazama kunapoteza nguvu ya macho kuona,na pia mnaweza mkazaa mtoto kikojozi sana

13.ukimuingilia mwanamke wakti yupo hedhini mkiruzukiwa mtoto aweza kuwa mwenye ukoma

14.Yamekuja makatazo ya kumuingilia mkeo katika usiku wa kwanza mwezi unapoandama,na usiku wa mwisho katika mwezi...kwani mkiruzukiwa mtoto anaweza pata wazimu maishani mwake
na inasemekana mashetani hupenda kufanya mapenzi katika nyakati hizo

15.mwanamke usiufunue uchi wako mahali penye nyota,yaani kusimama sehemu na ukavua nguo nyota zikawa kama zinauona uchi wako kufanyan hivyo kutamsababishia mtoto kuwa kikojozi kitandani

16.Msifanye mapenzi wakati wa azana mkijaaliwa mtoto anaweza kuwa
mfitinishaji

17.ukimaliza kufanya mapenzi kojoa kwanza ndiyo uoge.

18.Ukilala na ukaota unafanya mapenzi usimuingilie mkeo mpk uoshe hyo dhakari laa sivyo mtoto atakuwa na mapungufu ya akili au maumbile

19.kama una mkojo usifanye mapenzi kojoa kwanza

20.Watu wa aina3 hawakubaliwi shahada yao na mwenyezi mungu 
~mume anayefanya mapenzi na mume mwenzake na mwenye kuingiliwa
~mke anayefanya mapenzi na mwanamke mwenzie
~kiongozi wa ummah aliye muovu