Tibazetu Afrika

Blog hii inahusu tiba za asili juu ya magonjwa mbalimbali ya kimwili na kiroho.Habari,burudani na mambo yote yanayoizunguka jamii.

Contact us

+255 657 739713
Whatsapp/call and sms

Email
Tibazetutz@gmail.com

Watembeleaji

Search

Ijumaa, 23 Oktoba 2015

MAUMIVU YA VIUNGO


Watu wengi husumbuliwa na maradhi ya maumivu ya viungo,na wengi wao huishia kutafuta dawa za kujichua kila siku kwa ajili ya kutuliza hayo maumivu...hizi ni dawa ambazo zinatibu na kumaliza kabisa matatzo hayo....

                   SIKI YA APPLE
~Chukua siki ya APPLE kiasi cha kijiko kimoja

~kijiko kimoja cha asali 

~koroga kwenye glass ya maji ya kunywa

~ukishakula chakula cha usiku kaa kwa masaa mawili kisha kunywa glass hyo kila siku kwa siku 5 mpk 11

MAZIWA FRESH NA ASALI YA NYUKI
~Glass moja ya maziwa iliyochemshwa vizuuri yawe ya moto changanya na kijiko kimoja cha asali ya nyuki

~kisha koroga vizuuri

~kunywa kila unapotaka kulala glass moja kwa siku 5,11


                                                     BABUNAJI
~chukua dawa inaitwa babunaji kiasi cha vijiko3 vya chakula,itie kwenye maji glass3 halafu chemsha hadi ichemke vizuri mpaka ibaki glas1 kisha ichuje


~kunywa yakiwa moto kila siku jioni kabla ya kulala siku 5 mpK 7